HabariMilele FmSwahili

Watu 5 wafariki katika ajali ya barabarani Embu

Watu watano wanahofiwa kufariki baada ya kuhusika katika ajali mbaya a barabarani huko kaunti ya Embu. Hii baada ya lori kugongana ana kwa ana na gari ndogo aina ya nissan matatu eneo la kibugua katika barabara kuu ya Mutunduri-Kiajokoma. Polisi na maafisa wa shirika la msalaba mwekundu waliofika mahala hapo wanaendeleza shuguli za uokozi huku waliojeruhiwa wakikimbizwa katika hosipitali tofauti kupokea matibabu.

Show More

Related Articles