HabariMilele FmSwahili

Ochilo Ayako aondoa kesi ya kupinga ushindi wa gavana Okoth Obado mahakamani

Mwanasiasa Ochilo Ayako ameondoa kesi ya rufaa aliyowasilisha kupinga ushindi wa gavana Okoth Obado wa Migori katika uchaguzi wa mwaka jana. Ayako anasema wameafikiana na Obado kukubaliana kushirikiana kikazi. Tayari Ayako amedokeza kwamba atawania useneta wa Migori kilichowachwa wazi na Bernad Olouch aliyefariki mwaka jana. Uchaguzi mdogo wa useneta Migori unaatdanliwa Oktoba 8 mwka huu

Show More

Related Articles