HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na upwa: Tunamuangazia Kevin Ochieng’ Msusi, Mpishi na Msanii kwa wakati mmoja

Baada ya miaka mingi ya kutafuta kazi hadi kutafuta kazi ikawa ni
kazi kwake, Kevin Ochieng’ kutoka mtaa wa South B hapa jijini Nairobi aliona heri aanze kazi ya ususi.

Hayajaishia hapo kwani Omondi vile vile ni mpishi wa mandazi. Hayo yote akiyafanya kwa miaka tisa sasa.

Haya yote kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa wiki hii.

Show More

Related Articles