HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wanafunzi 10 washtakiwa Nairobi kwa njama ya kuchoma shule

Wanafunzi kumi wa shule ya upili ya  wasichana ya Huruma na shule ya upili ya wavulana ya Aquinas jijini Nairobi wameshtakiwa kwa madai ya kupanga njama ya kusababisha uharibifu shuleni mwao.

Wanafunzi hao walikanusha mashtaka na kuachiliwa kwa dhamana ya shilingi elfu kumi kila moja.

Hayo yakijiri mwanamume mmoja anadaiwa kujiua pamoja na mwanaye huku mkewe akiponea kifo.

Yadaiwa mwanamume huyo aliwasha moto nyumba walimokuwa baada ya ugomvi wa kinyumbani kaunti ya Embu.

Show More

Related Articles