HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Zaidi ya shilingi milioni 20 zatoweka Benki ya Family Ruiru

Polisi wanachuguzi wizi wa zaidi ya shillingi millioni 20 katika benki ya Family tawi la Ruiru katika kaunti ya Kiambu.

Mameneja watatu wa tawi hilo na mlinzi wamekamatwa na watazuiliwa kwa siku kumi na nne uchuguzi ukiendelea.

Show More

Related Articles