HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Washukiwa 14 wa sakata ya ufisadi waachiliwa kwa dhamana

Mahakama kuu jijini Nairobi sasa imewaachilia kwa dhamana washukiwa wa sakata ya kampuni ya usambazaji nguvu za umeme KPLC baada ya siku tatu kizimbani.
Hakimu Mkuu Daouglas Ogot amesema kila mshukiwa atahijatika kutoa dhamana ya shilingi milioni mbili, dhamana nyingine ya pesa taslimu shilingi milioni moja, na mdhamini wa shilingi mbili.
Hata hivyo, watalazimika kulala rumande tena leo.

Show More

Related Articles