HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kizza Bessigye awapongeza Rais Kenyatta na Odinga

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dakta Kizza Bessigye amepongeza mwafaka baina ya Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM Raila Odinga.

Kwa upande wake aliyekuwa jaji mkuu Dakta Willy Mutunga ameelezea shaka kuhusu mwafaka huo akidai itakuwa vigumu kukabili jinamizi la ufisadi nchini.

Show More

Related Articles