HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Vituo vya Huduma kufanya kazi kwa saa 13 kwa siku Nairobi

Serikali inapanga kuongezea muda wa kuwahudumia wakenya katika ofisi za vito vya Huduma kote nchini.

Hatua hii itahakikisha wakenya wengi wanapata huduma  wanazohitaji bila kuchelewa na kupunguza malalamishi ya utoaji wa huduma za serikalii katika ofisi mbalimbali.

Show More

Related Articles