HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Obama afungua rasmi taasisi ya dadake Auma Obama ya “SAUTI KUU”

AliyekuwaRais wa Marekani Barack Obama hii leo amezuru kijiji cha Kogelo kaunti ya Siaya alikozaliwa marehemu babake na kusifia mwafaka wa kisiasa kati ya Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga.

Obama, ambaye amefungua rasmi taasisi ya dadake Auma Obama ya Sauti Kuu, amesema iwapo nchini kutakuwa na utulivu wa ksiasa basi taifa litaafikia maendeleo.

Hata hivyo ziara ya Obama ilonekana kuwakata tamaa wenyeji ambao hawakupata nafasi ya kutangamana naye.

Show More

Related Articles