HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Makataa yaongezwa kwa siku 5 kupisha ujenzi wa barabara, Kibra

Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Kibra wametii agizo la kuondoka katika eneo lililotengewa ujenzi wa barabara huku baadhi wakitaka kupata fidia kabla ya kuondoka.

Mamlaka inayosimamia barabara kuu nchini imesema kuwa itawasaidia wanaohama kwa hiari kufanya hivyo na kuwaongeza muda wa siku tano zaidi.

Show More

Related Articles