HabariPilipili FmPilipili FM News

Mbunge Wa Malindi Aisha Jumwa Asistiza Atazidi Kumuunga Mkono William Ruto.

Mbunge wa Malindi Aisha Jumwa kwa mara nyingine amesisitiza kuwa uhusino wake na naibu rais William Ruto kamwe hautayumbiushwa na mtu yeyote.

Akizungumza huko Malindi baada ya kukabidhi shirikisho la soka FKF tawi la Malindi gari litakalo tumika kusafirisha wachezaji, Jumwa amesema ushirikiano wake na naibu raisi umeleta manufaa mengi ndani ya Malindi .

Jumwa mewakashifu baadhi ya viongozi wanao mpiga vita kila uchao kufuatia kuzindua miradi ya maendeleo.

Show More

Related Articles