HabariSwahili

Mwanamke akatwa mkono kwa kudaiwa ni tasa, Homabay

Mwanamke wa miaka ishirini na miwili kutoka eneo la Kamreri, Suba Kusini kaunti ya Homabay amelazwa katika hospitali ya rufaa katika kaunti hiyo, baada ya mumewe kudaiwa kumkata mkono wake kwa madai ya kutomzalia watoto.

Berry Adhiambo alikatwa mkono wake wa kushoto baada ya malumbano kuchacha baina yake na mumewe.

https://youtu.be/RBsvZb4BG3k   

Show More

Related Articles