HabariSwahili

Kijiji cha Kogelo kinasubiri kuwasili kwa Rais huyo mstaafu,Jumatatu

Kijiji cha Kogello kinasubiri kwa hamu kuwasili kwa rais mstaafu wa Marekani Barack Obama , ambaye  atafungua rasmi  kituo cha mafunzo cha sauti kuu,ambacho kitapania kutimiza lengo la kukuza talanta za spoti,na kuwapa vijana nafasi ya kujifunza ajira tofauti .

Wengi wana matumaini makuu kuwa  kufika kwa Obama kutasaidia kuimarisha maisha yao,na kuwaletea maendeleo.

Show More

Related Articles