HabariSwahili

Serikali yasitisha uhamisho wa vifaru nchini baada ya 8 kufariki 

Waziri wa utalii Najib Balala, amesimamisha uhamisho wote wa vifaru nchini, baada ya vifaru wanane kati ya 11 waliohamishiwa mbugani Tsavo mashariki kufariki.

Kulingana na taarifa kutoka wizara ya utalii, vifaru hao wamefariki kwa kunywa maji yenye chumvi nyingi mbugani humo.

Show More

Related Articles