HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta afanyia mabadiliko baraza la mawaziri

Rais Uhuru Kenyatta amefanya mabadiliko katika baraza la mawaziri ambapo Peter Munya amehamishwa kutoka wizara ya jumuia ya Afrika Mashariki hadi ile ya viwanda. Mtangulizi wake Munya,Adan Mohammed sasa ndiye waziri wa jumuia ya Afrika Mashariki. Aaidha Coleta suda sasa ni naibu waziri wa elimu huku Simon Kachapin akiteuliwa naibu waziri wa kawi.

Kadhalika,rais amewateua mabalozi kadhaa wakiwemo aliyekua msemaji wa ikulu Manoa Esipisu.

Show More

Related Articles