HabariMilele FmSwahili

Kaunti ya Tharaka Nithi yaanza kutoa chanjo dhidi ya Rubela na Ukambi

Kaunti ya Tharaka Nithi imeanza kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa wa Rubela na Ukambi ikilenga zaidi ya watoto 20,000. Akiongea katika eneo la Igamba Ngombe Gavana Muthomi Njuki anasema wataajiri wahudumu zaidi wa afya ili kufikia watoto zaidi na pia kuboresha huduma za afya zinazotolewa. Njuki anasema chanjo hiyo inaanza mara moja.

Show More

Related Articles