HabariMilele FmSwahili

Mbunge Martha Wangari ashinikiza kubuniwa sheria za kudhibiti bei ya sare az shule nchini

Mbunge wa GilGil Martha Wangari sasa anashinikiza kubuniwa sheria za kudhibiti bei ya sare za shule ili kuwapunguzia wazazi mzigo. Wangari amepinga pendekezo la kuwepo kwa aina moja ya sare za shule kote nchini akisema hilo halitakuwa suluhu. Anasema kuna masuala mengi yanayostahili kushughulikiwa kwenye shule ikiwemo ukosefu wa vifaa vya masomo kando na mjadala unaoendelea wa sare za shule.

Show More

Related Articles