HabariSwahili

Mtoto wa miaka 11 auawa na maiti kutupwa nje ya nyumba yao

Polisi mjini Mombasa wameanzisha uchunguzi ili kubaini kilichosabisha kifo cha mtoto mwenye umri wa miaka 11 ambaye mwili wake ulipatikana nje ya lango la nyumba ya wazazi wake asubuhi ukiwa kwenye gunia.
Kama mwanabari wetu Grace Kuria anavyotueleza, inashukiwa kuwa aliyetekeleza unyama huo ni mtu anayeifahamu vyema familia hiyo, ikizingatiwa kuwa kisa hiki sio cha kwanza katika eneo la Kisauni.

Show More

Related Articles