HabariSwahili

Seneta wa Lamu Anwar Loitiptip amepoteza kiti chake kortini

Seneta wa kaunti ya Lamu Anwar Loitiptip amepata pigo baada ya mahakama ya rufaa mjini Mombasa kubatilisha ushindi wake ikitia dosari zoezi zima la uchaguzi wa useneta kaunti hiyo wa tarehe 8 mwezi Agosti mwaka 2017.
Katika mahakama ya rufaa mjini Eldoret jaji Erastus Githinji amemuidhinisha Kangogo Bowen kama mbunge wa Marakwet Mashariki.
Ahmed Juma Bhalo ana mkusanyiko wa yaliojiri mahakamani kuhusiana na kesi tofauti za uchaguzi.

Show More

Related Articles