HabariMilele FmSwahili

Waziri Amina : Watakaopatikana na hatia katika visa vya moto shuleni watachukiliwa hatua za kisheria

Wizara ya elimu imeomba kupewa muda kuendesha uchunguzi wake kuhusiana na visa vya moto shuleni badala ya kuendelea kutoa tuhuma ambazo hazijadhibitishwa kuhusiana na kiini cha visa hivyo Balozi Amina Mohammed amesisitiza watakaopatikana na hatia watachukulwia hatua za kisheria iwapo ni wanafunzi au walimu waliohusika na mkasa wa moto. Aidha amesema watagharamikia hasara ambyo imetokana na visa hivyo.

Show More

Related Articles