HabariMilele FmSwahili

Mahakama ya leba yamtaka Chebukati kufika mbele yake

Mahakama ya leba imemtaka mwenyekiti wa tume ya uchaguzi IEBC kufika mbele yake kueleza sababu za kukiuka agizo la mahakama. Mahakama imetaka Chebukati pamoja na makamishna wawili wa tume hiyo kueleza kwa nini wasipewe kifungo cha miezi 6 gerezani kwa kosa la kiukaji wa agizo la mahakama. Chebukati na wenzake wanadaiwa kumzuia afisa mkuu mtendaji wa IEBC Ezra Chiloba kurejea kazini licha ya agizo lililotolewa na mahakama.

Show More

Related Articles