HabariMilele FmSwahili

Kagongo Bowen kusalia mbunge wa Marakwet Mashariki

Kagongo Bowen atasalia kama mbunge wa Marakwet Mashariki. Ni baada ya jopo la majaji 3 wa mahakama ya rufaa huko Eldoret kutupilia mbali uamuzi wa mahakama kuu uliompokonya ushindio wake Bowen. Jaji Erastus Githinji anasema sababu zilizotolewa na mahakama kuu hazitoshi kubatili ushindi wa Bowen.

Show More

Related Articles