HabariMilele FmSwahili

Seneta wa Lamu Anwar Loitiptip apoteza kiti chake

Seneta wa Lamu Anwar Loitiptip amepoteza kiti chake. Jopo la majaji 3 wa mahakama ya rufaa limeridhia uchaguzi huo haukuendeshwa kwa uwazi.
Wafuasi wake mwanasiasa Hassan Albeity aliyewasilisha kesi hiyo wameelezea kuridhishwa na uamuzi huo japo mlalamishi hakuwepo mahakamani.

Show More

Related Articles