HabariMilele FmSwahili

Mbunge Kagogo Bowen kubaini hatma yake katika kesi ya kupinga ushindi wake leo

Mbunge wa Marakwet Mashariki Kangogo Bowen atabaini hatma yake leo jaji wa mahakama ya rufaa Erastus Githinji akitarajiwa kutoa uamuzi wake kwenye kesi ya kupinga ushindi wake. Hii ni baada ya mahakama kuu ya Eldoret kufutilia mbali ushindi wake mapema mwaka huu. Jaji Kanyi Kimondo aliridhishwa na ushahidi uliowasilishwa na mpiga kura Sammy Kemboi.

Show More

Related Articles