HabariMilele FmSwahili

Wachuuzi wa soko la Marikiti hapa jijini Nairobi wakabiliana na polisi

Wachuuzi 5 wa soko la Marikiti Nairobi akiwemo mwenyekiti wao wanazuiliwa na polisi wengine wakihofiwa kujeruhiwa kufuatia makabiliano yaliyoanza hapo jana baina ya polisi na wachuuzi hao. Wafanyibiashara hao wanadai kudhulumiwa na askari wa jiji wakisema hawatatulia hadi pale wenzao watakapoachiliwa huru.
OCPD wa Central Robinson Thuku amedhibitisha kukamatwa wote hao lakini haajaeleza wanazuiliwa kwa mkosa gani.

Show More

Related Articles