HabariMilele FmSwahili

Shule ya Gendai na Menara huko Nyanza za punde kushuhudia mkasa wa moto

Bweni la shule ya upili ya Gendia iliyoko Rachuonyo kaskazini kaunti ya Homa Bay imeteketea muda mfupi uliopita. Mwalimu mkuu wa shule hiyo Reuben Kodiango anasema chanzo cha moto huo hakijabainika. Shule ya upili ya Menara iliyoko Muhoroni kaunti ya Kisumu pia imeteketea usiku wa kuamkia leo uchunguzi ukianzishwa kubaini waliohusika. Ni visa vinavyozidi kuwakera viongozi tofauti.

Show More

Related Articles