BiasharaHabariPilipili FmPilipili FM News

WanaBiashara Walalamika Mtongwe.

Wanabiashara wa Mtongwe wanadai kukadiria hasara tangu feri iliyozinduliwa  upya na rais Uhuru Kenyatta kusitisha huduma zake katika kivuko cha mtongwe.

Wakizungumza na meza yetu ya habari wafanyibiashara hao wamesema hali ya biashara imezorota ikizingatiwa  kuwa awali waliitegemea pakubwa kuvukia  bahari kutoka na kuelekea mji wa mombasa.

Aidha wakaazi wameomba serikali iweze kurudisha feri ya mtongwe ili kuboresha maisha yao na hata ukuaji wa kiuchumi eneo nzima la mtongwe

Show More

Related Articles

19 Comments

  1. Thanks for any other wonderful article. The place else could anyone get that kind
    of information in such an ideal way of writing? I’ve a presentation next week, and I am on the search for such info.

    barcelona Fodboldtrøje

Leave a Reply

Your email address will not be published.