HabariNATIONAL

Ubakaji Ubakaji Moi Girls : Moi Girls Sampuli za DNA za watu 107 waliochunguzwa hazijazaa matunda

Uchunguzi wa chembechembe za DNA kubaini mhusika katika kisa cha ubakaji kilichoripotiwa katika shule ya upili ya wasichana ya Moi Girls Nairobi umegonga mwamba.
Hii ni baada ya matokeo ya wanaume 107 waliokisiwa kuwa shuleni wakati wa mkasa huo na ambao walifanyiwa uchunguzi huo kukosa kulingana na sampuli zilizochukuliwa kutoka kwa mwathiriwa.

Show More

Related Articles