HabariSwahili

Takwimu za Wizara ya Elimu zaonyesha shule 42 zimechomwa nchini 

Zaidi ya wanafunzi 20 wamekamatwa eneo la Pwani wakihusishwa katika kuteketeza moto mabweni ya shule na kuzua rabsha.
Katika kaunti ya Kisii wanafunzi wanane wa shule ya upili ya wavulana ya Kisii watalala rumande kwa kuripotiwa kuteketeza bweni shuleni humo huku shule hiyo sasa ikisalia kufungwa.

Kufikia sasa, zaidi ya shule 40 zimeathiriwa na misukosuko ya wanafunzi na uharibifu wa mali, huku serikali ikizidi kuahidi itakaza kamba dhidi ya wanafunzi washukiwa.

Show More

Related Articles