HabariSwahili

Shule ya Starehe yadhihirisha kwa nini utundu shuleni ni nadra 

Shule ya upili ya wavulana ya Starehe inaendelea kuonekana kuwa mfano bora wa shule ambazo wanafunzi wake wanatilia mkazo nidhamu ya hali ya juu shuleni.
Baada ya visa vya utovu wa nidhamu na misururu ya mikasa ya moto katika shule nyingi nchini kuibuka, usimamizi na wanafunzi wa shule ya upili ya Starehe una wosia kwa wenzao.
Anders Ihachi alizungumza na baadhi ya wanafunzi hao na hii hapa taswira kamili.

Show More

Related Articles