HabariSwahili

Wafanyikazi hewa Migori 

Ukaguzi wa mahesabu ya kaunti ya Migori umebainisha kuwa kaunti hiyo hupoteza milioni tisini na moja kwa wafanyikazi hewa kila mwaka .
Lakini cha kusikitisha zaidi mtazamaji ni kwamba imebainika kuwa kaunti hiyo ya Migori ina zaidi ya wafanyikazi hewa 850 kwa mujibu wa ukaguzi huo, ambao wamekuwa wakifyonza pesa za kaunti bila huruma.

Show More

Related Articles