HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Odinga afafanua zaidi kuhusu mwafaka wao na Rais Kenyatta 

Kinara wa NASA Raila Odinga amepasua mbarika kuwa Naibu Rais William Ruto na kinara mwenza wa NASA na ambaye ni kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka hawakuhitajika katika mkutano waliofanya na Rais Uhuru Kenyatta na kuwa na makubaliano ya pamoja.

Odinga aliyasema hayo leo walipokuwa na Kalonzo Musyoka katika kaunti ya Kitui.

Show More

Related Articles