HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wabunge wawakashifu magavana kwa kutaka kinga wasishtakiwe kwa ufisadi

Baadhi ya wabunge sasa wameyasuta matamshi ya magavana hiyo jana kwamba wapewe kinga ya kutokamatwa kwa tuhuma za ufisadi.

Mbunge wa Ugunja Opiyo Wandayi na Seneta wa Meru Mithika Linturi, wanasema ni njama ya magavana kuhakikisha kwamba hawawajibiki kukabiliana na ufisadi na hivyo wanastahili kuubeba mzigo wao.

Show More

Related Articles