HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na upwa: Tunamuangazia Mkenya aliyebobea katika sanaa ya uchoraji, Dubai 

Kazi ya kupaka nyumba rangi au tuseme kuchora kuta huonekana ni ya watu wa kawaida tu na wengi kutowathamini wanaoifanya kazi hiyo.

Lakini kutana  na Elias Irungu ambaye kupitia kazi hiyo amepata kazi ya kupaka rangi majumba jijini Dubai katika nchi ya milki za kiarabu baada ya  kuifanya kazi hiyo mjini Mombasa na kumfurahisha mteja wake mmoja aliyekuwa na marafiki Dubai.

Mwanahabari wetu Richard Kagoe alipatana na Njoroge kwenye pilka pilka zake jijini Dubai.

Show More

Related Articles