HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Waziri Kobia aagiza maombi yote ya zabuni kuwasilishwa upya

Shirika la huduma ya vijana kwa taifa NYS sasa limetangaza upya zabuni ya ugavi wa bidhaa na huduma mbali mbali baada ya zabuni za hapo awali kufutiliwa mbali na waziri wa vijana na jinsia Profesa Margaret Kobia.

Kwenye taarifa kwa vyombo vya habari kampuni zilizokuwa zimepokezwa zabuni hizo zitalazimika kutuma maombi yao upya na zinatarajiwa kufanya hivyo ifikapo Julai ishirini na sita.

Show More

Related Articles