HabariMilele FmSwahili

Watu 2 wafariki katika ajali eneo la Rungiri kwenya barabara ya Nairobi – Nakuru

Watu 2 wamefariki na wengine kukimbizwa hospitalini baada ya kuhusika kwenye ajali katika eneo la Rungiri kwenye barabara kuu ya Nairobi kuelekea Nakuru. Ajali hiyo imehusisha basi la Platinum na matatu ya abiria 14 ya shirika la Lina.

Show More

Related Articles