HabariPilipili FmPilipili FM News

Boti Iliyokua Ikisafirisha Miraa Yazama Baharini Lamu.

Watu wawili wamenusurika kifo baada ya boti zao mbili walizokuwa wakisafiria kuelekea Kiunga kuzama baharini hindikatika eneo la  Manda Bruno ambao ni mlango wa kuingilia Meli katika kaunti ya Lamu.

Captain Ali Chamzungu amewasihi wanaosafirisha miraa sawia na manahodha wa maboti kwa jumla kuwa waangalifu wanapoendesha boti zao msimu huu wa kusi.

Cha mzungu ambaye ni mtaalam wa maswala ya bahari amewataka manahodha wenzake wasiweke wenye tamaa ya pesa kutokana hali ilivyo ya bahari hussan mwezi wa saba hadi mwezi wa nane

Show More

Related Articles