HabariPilipili FmPilipili FM News

Wanyama Awaomba Vijina Mjini Malindi Kutojihusisha Na Utumizi Wa Dawa Za Kulevya.

Wito umetolewa kwa vijana mjini Malindi kunti ya Kilfi kuachana na utumizi wa dawa za kulevya  na badala yake wajihusihe na michezo mbali mbali ili kukuza vipaji vyao.

Haya ni kwa mjibu wa mchezaji wa timu ya kitaifa Harambee stars  ambaye pia anaichezea klabu ya Tottenham nchini Uingereza Victor Wanyama , ambaye amewataka vijana ambao wanavipaji vya kucheza mpira kuzingatia maadili mema.

Akizungumza wakati alipoitembela timu ya Malindi United Wanyama aliyekuwa  ameandamana na nduguye MacDonald Mariga amesema uraibu wa mihadariti miongoni mwa wachezaji ndio chanzo cha kushusha hadhi ya mchezaji sawia na timu.

Show More

Related Articles