HabariSwahili

Mmiliki wa bwawa la Patel kulala korokoroni akisubiri uamuzi wa mahakama

Mmiliki wa bwawa la Patel lililovunja kingo na kuwaua watu 47 atalala rumande leo usiku, akisubiri kujua iwapo ataachiliwa kwa dhamana au la, baada ya kushtakiwa kwa mauaji bila kukusudia.
Perry Mansukh, pamoja na meneja mkuu wa shamba la kahawa la Patel Vinoj Kumar, na mkurugenzi wa idara ya maji kaunti ya Nakuru Johnson Kamau Njuguna wote wanasubiri kujua hatima yao kesho baada ya kufikishwa kizimbani.

Show More

Related Articles