HabariMilele FmSwahili

Uchunguzi kubaini idadi kamili ya watu waliofariki katika ajali Emali waanza

Polisi wameanzisha uchunguzi kubaini idadi kamili ya watu waliofariki basi la abiria kugongana na lorry na kisha kuwaka moto katika eneo Civicon karibu na Emali kwenye bara bara ya Nairobi Mombasa. Kulingana na OCPD wa Mukaa Paul Odede watu 20 walikimbizwa hospitalini kufuatia ajali hiyo. Aidha anasema watu wasiopungua 10 wamedhibitishwa kufariki kufikia sasa miili miwili ikipatikana ndani ya lori

Show More

Related Articles