HabariMilele FmSwahili

Watu 9 wafariki katika ajali ya barabarani, Emali

Watu takribani 9 wamefariki baada ya basi la abiria kugongana na lorry na kisha kuwaka moto katika eneo Civicon karibu na Emali kwenye bara bara ya Nairobi Mombasa. Watu wengine 20 wamejeruhiwa kwenye ajali hiyo. Akidhibitisha ajali hiyo kamishna wa kaunti ya Makueni Mohamed Maalim amesema kuwa basi hilo lilikuwa likielekea mjini Mombasa.

Show More

Related Articles