HabariMilele FmSwahili

Watu 2 wafariki katika ajali ya barabarani eneo la Subuiga, Meru

Watu 2 wamefariki na wengine 15 kujeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Subuiga kaunti ya Meru mchana wa leo. Ajali hiyo imetokea baada ya basi la abiria 60 lililokuwa likielekea Moyale lilipoanguka na kubingiria mara kadhaa. Akidhibitisha ajali hiyo OCPD wa Buuri, Joseph Obaya amewaonya maderava hasaa wa masafara marefu dhidi ya uendeshaji gari kwa kasi akiwataka kuzingatia sheria za trafiki

Show More

Related Articles