HabariMilele FmSwahili

Matilda Sakwa ateuliwa kuwa mkurugenzi mkuu mpya wa NYS

Kamishna wa kaunti ya Machakos Matilda Sakwa sasa ndiye mkurugenzi mkuu mpya wa shirika la huduma ya vijana kwa taifa NYS. Sakwa anachukuwa mahala pa Richard Ndubai anayekabiliwa na kesi ya ufisadi uliopelekea kupotea kwa zaidi ya shilingi milioni 400 kati ya bilioni 9 zinazodaiwa kuporwa kutoka NYS.

Show More

Related Articles