HabariSwahili

Msichana wa kidato cha kwanza Ngara Girls hajulikani aliko

Polisi wameanzisha uchunguzi baada ya mwanafunzi wa shule ya upili ya wasichana ya Ngara Nairobi kutoweka kwa siku ya nne sasa.
Saadia Aden ambaye yuko katika kidato cha kwanza alirejea shuleni kutoka likizo fupi mnamo tarehe 25 kabla ya kutoweka siku mbili baadaye.

Show More

Related Articles