HabariSwahili

Migodi ya dhiki : Madini ya zebaki yahatarisha maisha ya wakazi Migori

Sakata ya uagizaji sukari yenye sumu imezua hofu nchini  hasa kutokana na kuwepo kwa madini ya zebaki.
kemikali hiyo ni hatari kwa afya na imewaathiri wengi, hasa kina mama wanaoitumia katika migodi ya dhahabu kaunti ya Migori.
Angela Cheror alikuwa migori na kutuandalia taarifa kuhusu wanawake ambao wana matatizo ya kiafya baada ya kutumia zebaki, na tunampisha sasa akifafanua kwanini zebaki ni madini ya dhiki.

Show More

Related Articles