HabariMilele FmSwahili

Shule ya upili ya wasichana ya Kisumu yafungwa kwa muda usiojulikana

Shule ya upili ya wasichana ya Kisumu Girls imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi kuandamana na kuzua rabsha usiku wa kuamkia leo. Wanafunzi hao wanadaiwa kuvunja vyoo vya madirisha majengo ya shule hiyo kando na kuvamia makaazi ya mwalimu mkuu wao. Wanafunzi hao walikuwa wakilalamikia kile wamekitaja kuwa usimamizi mbaya, chakula kibovu.

Show More

Related Articles