HabariPilipili FmPilipili FM News

Wanao Tekeleza Mauaji Kwa Watuhumiwa Wa Uchawi Waonywa, Kilifi.

Onyokali limetolewa kwa wakazi wa kilifi wenye nia ya kupanga mauaji ya wazee kwa tuhuma za uchawi kwamba chuma chao kimotoni.

Fredrick Ochieng ambaye ni kamanda wa polisi kaunti ya  kilifi  amelitaja  eneobunge la Ganze kuongoza kwa visa vingi vya mauaji ya wazee hao,likifuatiwa na maeneo bunge ya Rabai na Magarini.

Kulingana naye visa vitatu vimeripotiwa eneobunge la Ganze ndani ya majuma mawili yaliyopita.

Show More

Related Articles