HabariMilele FmSwahili

Raila aondoka kuelekea india kwa ziara ya wiki moja

Kinara wa ODM Raila Odinga ameondoka nchini kuelekea India kwa ziara ya wiki moja. Raila anatarajiwa kukutana na kushauriana na waziri mkuu wa India Narendra Modi. Ameandamana na mke wake Ida Odinga.

Show More

Related Articles