HabariSwahili

Wasiotambulika : Msichana wa miaka 19 anayesomesha kijiji licha ya umaskini,Meru

Msichana wa miaka kumi na tisa, alimaliza kidato cha nne mwaka uliopita anatoka familia maskini kupindukia na anatamani kupata pesa za kuendelea na masomo katika chuo kikuu.
Betty Karambu licha ya ufukara nyumbani kwao amejitahidi kuwapeleka shuleni watoto 20 wa familia maskini zaidi kutoka kijijini mwao Kiirua, kaunti ya Meru, na ndiye anayetupambia makala ya Wasiotambulika wiki hii.

Show More

Related Articles