HabariSwahili

Mtoto wa wiki 3 adhaniwa kuaga na kuwekwa hifadhi ya maiti akiwa hai

Familia ya  ya mtoto  wa umri wa wiki tatu  kutoka kaunti ya Kiambu, inasaka haki baada ya mtoto wao kudaiwa kuaga baada ya kupelekwa hospitalini, lakini ajabu akapatikana akiwa hai, baada ya kupelekwa kwenye chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali ya Kiambu.
Cha kuatua moyo ni kuwa aliaga siku mbili baada ya kutolewa kwenye chumba cha kuhifahdi maiti .
Sasa familia inataka kufahamu ni daktari yupi alikuwa amesema mtoto alikuwa ameaga kabla ya wakati wake.

Show More

Related Articles